Friday, June 10, 2011
CHID BENZ FEAT MZEE YUSUFU -MASHALAAH VIDEO DOWNLOAD
video y mashalaah mtu mzima chidi benz hyo hapo wadau mnacomment kuhusu kioo
download wachuja nafaka -jimwage
P-FUNk awarejesha tena wachuja nafaka ni mzigo unaokwenda kwa jina la JIMWAGE .Wazeiya wamekamua ile ile embu fanya iwe mal yako kwny ipod yako fanya kuclick link chn hapo
Thursday, June 9, 2011
Wednesday, June 8, 2011
CHID BENZ MZIGONI NA MZEE YUSUFU
Chid benz king kong mfalme wa ilala,aachia dude jipya kwajina la mashalaah mnyamwez huyo kamshirikisha mzaz mzee yusufu ni dude lenye swagger la mapozi ile kimwambao zaidi huku chid b akitupia swagger zxa maana pale kati,kama vipi fuata link chid upata mashalaah download
BEN PAUL AJA NA NGOMA MPYA
Artist mpya wa r&b bongo BEN PAUL adondosha ngoma mpya number one fun kama vip unaweza download ngoma hiyo fanya ku click link chini hapoben paul
Sunday, June 5, 2011
Sokoine kumewashwa moto na kili music stars
Katika viwanja vya sokoine jijin mbeya wasani walioshnda tuzo za kili walifanya bonge la show huku wakisindikizwa na wasanii wenzao underground nao walijitokeza kuonyesha vipaji vyao
Saturday, June 4, 2011
mkali bilal arejea upya
mkal bilal aja upya hii ni kutokana na mambo ya dunia kwenda ndivyosivyo hapa ni mkali bilal na isaya boy pamoja na pedeshee somji.dama mkale pamoja na clue nzima ya swagger clan wanatandaa tafrija ya kijana wao
FORD ARUDI TOKA SONGEA
Kijana ford yee arudi toka singida baada ya kwenda kufuatilia maswala ya kujiendeleaza katika fani computer,alijitupia katika chuo cha st joseph,hiyo ni changamoto kwa vijana wenzangu kujiendeleza kwenye sekta mbalimbali vp bwana patrick uhaula naskia ulikuwa dar vp uko bwana
MKAL REY AFANYA VIDEO
Msanii toka chimbo Mkal rey,yupo katika harakat za kufanya video hilo limezibitishwa na director wa zax video production "mkal rey anafanya video chini ya watu kama mkali bilal,Dama mkale pamoj na team nzima ya swagger clan wakishirikiana na prince eze wa chriss videos pande za soweto mbeya,tumejipanga kufaya ngoma iliyopikwa na zest mkale wa MOJAMOJA RECS
Subscribe to:
Posts (Atom)