Monday, January 30, 2012

Mkasi - S01E11 with Steve Nyerere

MSANII WA SANAA YA MAIGIZO-ALEX MICHAEL a.k.a MACO

ALEX MICHAEL,kwa jina la kisanii kama MACO.Ni kijana anayechipukia kwa kasi ya ajabu katika tasnia ya filamu ni kijana mzaliwa wa GREEN CITY, Hapa nazungumzia jijini Mbeya, jiji mashuhuri kwa  biashara na kilimo wenyeji wake ni kabila la "wasafwa" ambapo jiji hili lina mwingiliano na watu toka mikoa mbalimbali .ndipo ambapo tukakutanana na kijana MACO,Nyota yake ilianza ng'ara pale walipokutana vijana takribani kumi na tano na kuunda kundi linalofahamika kama  SHUJAA muunganikio wa vipaji kwa wasanii( HEROS INTERTALENT ART),

ndipo jukumu kubwa la kuonesha ndoto yake katika  filamu kuonekana,ambapo sasa yeye ni kama mtunzi, mwongozaji na mwalimu pia,mambo aliyowahi kuyafanya ni pamoja na kushiriki katika filamu ya 'OUR TEACHER' hii ni filamu iliyoandaliwa na FORTUNATUS KASONVI mwenyeji wa afrika kusini,washirriki wengine ni MZEE MAGARI,DOKII na BADRA hawa ni baaadhi wa washiriki katika filami hiyo iliyoongozwa na MLUTU,
 
Kijana  MACO sasa anakuja na filamu aliyoitunga na kuwaongoza wanakikundi wenzake jina la filamu hiyo litatolewa baada ya filamu hiyo  kukalimika kwa sababu za haki miliki.Ukiacha na upcoming filamu pia filamu zilizoko katika store ni NYAGILIPILI CHA SWEBO,Ni filamu inahusu nyakati zijazo,MIDDLE IN THE CITY Inazungumzia matukio yaajabu na yakutisha kitikati ya jiji la mbeya.LOST IN DREAM,ushawahi potea katika ndoto na unajua nini kinazungumziwa na wangapi kimewatokea hapa basi kaa mkao wa kula kujua nini hatima yakupotea katika ndoto.

OMBI KWA WADAU AU WAWEZESHAJI WA FILAMU
ANGALIENI KIPAJI HIKI KISIJEPOTEA NI WAJIBU WAKO  KUKILINDA
KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE,
MUNGU AWABARIKI NYOTE AKSANTE
MAWASILIANO
ALEX MICHAEL

SIMU;0753 022122
           0653 670758