ZEST MKALI a.k.a KINDONGA.
Hapa namzungumzia producer wa MOJA MOJA RECS,
Anadondoka na ngoma yake USINIACHE,
Hii ni baada ya kuwa mpishi hodari wa ngoma kadhaa wa kadhaa
Kama vile mojamoja anthem,vumilia,nazi,rapper from green city
na zingine lukuki,Mzigo ulioko jikoni ni dullayo.,zax b na tribe,
DOWNLOAD FOR PROMO ONLY