Sunday, December 25, 2011

sikutoa track ya 'riz one' kwa lengo la kutaafuta imaarufu-izzo b

 
MSANII wa muziki wa kizazi kipya aliyeimba wimbo wa ‘Riz One’, Izzo Business, amefunguka na kusema kuwa tangu atoe kazi hiyo hakuna majibu yoyote aliyoyapata kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwani hakutoa kazi hiyo kwa lengo la kutafuta umaarufu zaidi ya kutoa kero za Watanzania ambao ndiyo wanaoumia.

Akizungumza na mtandoa wa Burudani wa DarTalk, Izzo  alisema baada ya kutoa wimbo alitumai angeweza kukutana na Rais lakini hakuna kitu chochote kichofanyika ingawa anaamini kazi hiyo wamesikiliza na wamejua nini kinachoongelewa.

Alisema mambo yote aliyoyaimba yapo katika taifa la Tanzania lakini anashangaa haoni mabadiliko yoyote kutoka Serikalini huku watanzania wakizidi kuumia na upandishwaji wa bei ya vyakula, rushwa na vitu vingine vingi vinavyokwamisha maendeleo.

“Unajua wasidhani kwamba nimetoa wimbo ule kwa lengo la kutafuta umaarufu hapana mimi nawakilisha jamii hivyo mambo yote ambayo nimezungumza mle ndani yapo na yanasababisha wananchi wazidi kuwa maskini.” alisema.

Hata hivyo msanii huyo alisema kuwa suala la dawa za kulevya hivi sasa limekuwa sungu na linazidi kuwamaliza vijana na hayo yanatoka nje ya nchi lakini cha kushangaza yanapita bandarini na hakuna siku ambayo Serikali imetangaza kuna mzingo wa dawa la kulevya umekatwa bandarini.

Alisema wimbo huo ulikuwa mahususi kwa mtoto wa Rais ili afikishe ujumbe kwa baba yake sababu yeye anapata muda mwingi wa kuzungumza naye kama kijana ambaye anaweza kumshauri baba yake jua masuala hayo katika kusaidia taifa hili ingawa yapo baadhi ya mambo amefanya vizuri.

MERRY X MASS FUNS WOTE

WADAU WA BLOG YANU NAPENDA KUWATAKIA X MASS NJEMA
SALAAM TOKA KWA TIMU NZIMA YA ZAXSWAGGER BLOG

FID Q-IELEWE MITAA

YOUNG DEE FT KITOKO LOLO-DADA HUYO

Monday, December 12, 2011

BRAND NEW TRACK DECEMBER BY JACK MAGIC VOICE-SANGOLITA

ARTIST,JACK MAGIC VOICE
SONG TITLE;SANGOLITA
STUDIO,MOJA MOJA RECS
PRODUCER,ZEST
DOWNLOAD SANGOLITA

TRIBLE AJA NA NGOMA MBILI MPYA DECEMBER HII


NGOMA YA KWANZA KALUMBU,

ARTIST;TRIBLE
SONG ;KALUMBU
STUDIO;MOJA MOJA RECS
DOWNLOAD KALUMBU


NGOMA YA PILI NI NIPE NAFASI
ARTIST; TRIBLE FT D BRAIN
SONG,NIPE NAFASI
producer,dayo & zest
Studio,moja moja recs
 DOWNLOAD NIPE NAFASI

WADAU MNAWEZA CHATI NA MWANA
CONTACT;0768508290 or  0655508290

kipande cha facebook,fanya search TRIBLE ROBISON,
THEN TUPIA COMMENT ISHU ZOTE WANA

Tuesday, December 6, 2011

Jamhuri Film & Television Academy :: Home

Jamhuri Film & Television Academy :: Home

Pitbull - Hotel Room Service

Pitbull - Rain Over Me ft. Marc Anthony

Alexandra Stan - Mr Saxobeat (Out Now / Official UK Video)

NOVEMBER DOWNLOAD HIP HOP R&b


DJ Kay Slay – The Kings of the Streets Feat. DJ Doo Wop, DJ Khaled & DJ Drama
French Montana – Shot Caller (Remix) Feat. Diddy & Rick Ross [Tags]
Lil Kim – I Am Not The One (CDQ)
Lloyd – She’s All I Want For Christmas
Marsha Ambrosius – Happy Thanksgiving 2011
Riz – Never Scared Feat. Prodigy
Slim Thug – O.C.D._Swag Feat. Killa Kyleon & Le$
Trey Songz – I Do
Trey Songz – Sex Aint Better Than Love

A$AP ANT – RIDIN ROUND SLOW (FEAT. EMEX & YT)
A$AP FERG – A HUNDRED MILLION ROSES
AVICII – SEEK BROMANCE (MIAMI LIFE REMIX)
BUSY SIGNAL – BOUNCE
BUSY SIGNAL – REAL SPENDERS
CAM’RON – MOTIVATION
CHRIS ECHOLS – WANNA BE
CHRIS LAKE – SUNDOWN (LAIDBACK LUKE REMIX)
CROOKED I – NO COMPETITION
DJ WEBSTAR – DROP THAT ASS (FEAT. WALE) (TAGS)
DOMINIC – FALL IN LOVE AGAIN
ELIJAH KING – AFRICA TO IBIZA (FEAT. HONOREBEL)
FAT PIMP – BRING EM BACK (FEAT. SHORT DAWG)
I-20 – COCAINE
JAE MILLZ – TATS ON MY ARM (FREESTYLE)
JON CONNOR – NO THRILLZ
KENDRICK LAMAR – RIGAMORTUS (REMIX) (FEAT. BUSTA RHYMES)
KRS-ONE – JUST LIKE THAT
LIL BOOSIE – SOUTHSIDE (FEAT. BIG HEAD & SAVAGE)
LIL TRILL – FAR OFF (FEAT. LIL BOOSIE & LIL PHAT)
M.O.P. & THE SNOWGOONS – BACK AT IT
MARIAH CAREY – WHEN CHRISTMAS (FEAT. JOHN LEGEND)
NEXX CHAPTER – DID IT DIFFERENT
PAUL WALL – BAD BITCHEZ (FEAT. SLIM THUG)
PILL – ALIVE
PLEASURE P – BLAME IT
SIX – SUNTIN’ (WEEKEND FLIP) (FEAT. KILLA TWAN)
SIX – VICE VERSA
T MILLS – BEAT IT UP (FEAT. JUICY J)
THE NICEGUYS – ARI GOLD (REMIX) (FEAT. BUN B)
THE SUPPLIERS – NO CONDOM
THE WEEKND – THE MORNING (ORIGINAL)
TONE TRUMP – WORD 2 MY MUVA (FREESTYLE)
TYGA – RACK CITY
UNCLE MURDA – B-BOYS (FREESTYLE)
VYBZ KARTEL – INDEPENDENT GIRLS
WAYNE MARSHALL – TAKE IT TO THE TOP
WILLY J PESO – EVERYBODY (WHO’S DRUNK) (FEAT. YOUNG SCOLLA)
WZRD (KID CUDI & DOT DA GENIUS) – BRAKE
YOUNG DOLPH – I’M WIT IT (FEAT. 2 CHAINZ)
YUNG JOEY – EUROPEAN SHIT (FEAT. GUCCI MANE)
ZEDD – STARS COME OUT (FEAT. HEATHER BRIGHT)

DOWNLOAD-NEW HIP HOP SONGS


FRANK OCEAN – GIRLFRIEND’S BEST FRIEND
JD ERA – TATS ON MY ARM
K KOKE – WAY TO GO (FEAT. KRAYZIE BONE & POZITION)
KAY L – IM FLY
KONCEPT – WATCH THE SKY FALL (FEAT. ROYCE DA 5’9)
OJ DA JUICEMAN – I’MA GET IT
QWOTE – SAME SHIT (FEAT. PITBULL)
ROLL DEEP – LORD KNOWS (FREESTYLE)
SEAN PAUL – ROLL WID DA DON
SHAWNNA – BIDDY BYE BYE (FEAT. JAKK FROST)
SMOKE DZA – I MADE YOU (FIRST CLASS) (FEAT. K-YOUNG & LORE’L)
STRONG ARM STEADY – CLASSIC
SWAY – STILL SPEEDIN RELOADED (FEAT. LUPE FIASCO) (RADIO RIP)
TAIO CRUZ – SHOTCALLER
TANK – GET BACK
TANK – TAKE YOU OUTTA HERE (FEAT. J-DOE)
TANK – STARS GIRL (FEAT. KEVIN MCCALL)
TANK – MONEY ON THE FLOOR (FEAT. SLIM THUG, KEVIN MCCALL & ACE HOOD)
TYGA – SNAPBACKS BACK (FEAT. CHRIS BROWN) (URBAN NOIZE REMIX)
WILEY – UNCLASSIFIED (FEAT. MANGA)
Z-RO – STOMPIN
40 CAL CLAP – SHAWN JAY

BLACK STAR – YOU ALREADY KNEW

CELEB FOREVER – THE ONE (FEAT. TREY SONGZ)

CHIP THA RIPPER – HOLD ME DOWN (FEAT. ERIC GRANT)

D. BROWN – DOWN

D. BROWN – IN & OUT OF LOVE

DJ KAYSLAY – THE KING OF THE STREETS (FEAT. DJ DOO WOP, DJ KHALED & DJ DRAMA)

DUBB – DO HIS STUFF (FEAT. PRICETAG FROM (AUDIO PUSH) & YOUNG SAM (SODMG))

FELGUK – BASSIVE

FRENCH MONTANA – SHOT CALLER (REMIX) (FEAT. DIDDY & RICK ROSS)

JAZMINE SULLIVAN – MY CAREER

JRD – WISHING ON YOU

LIL KIM – I AM NOT THE ONE (CDQ)

LLOYD – SHE’S ALL I WANT FOR CHRISTMAS

LUPE FIASCO – LIFE, DEATH & LOVE FROM SAN FRANCISCO

LUPE FIASCO – LUPE BACK

LUPE FIASCO – SLR

MARY J.BLIDGE-My life 11


01. Intro
02. Feel Inside (Feat. Nas)
03. Midnight Drive (Feat. Brook Lynn)
04. Next Level (Feat. Busta Rhymes)
05. Ain’t Nobody
06. 25/8
07. Don’t Mind
08. No Condition
09. Mr. Wrong (Feat. Drake)
10. Why (Feat. Rick Ross)
11. Love A Woman (Feat. Beyonce)
12. Irreversible
13. Empty Prayers
14. Need Someone
15. The Living Proof
16. Miss Me With That
17. Someone To Love Me (Naked) (Feat. Diddy & Lil Wayne)

DOWNLOAD NOW!!! [DEPOSITFILES]
DOWNLOAD NOW!!! [UPLOADED]
DOWNLOAD NOW!!! [UNIBYTES]
DOWNLOAD NOW!!! [FILESONIC]
DOWNLOAD NOW!!! [FILESERVE]

Mary J. Blige – My Life II: The Journey Continues (Act I) (Deluxe Edition)

Mary J. Blige – My Life II: The Journey Continues (Act I) (Deluxe Edition)

LUPE FIASCO-I DONT WANNA CARE RIGHT now

album ya TAIO cRUZ DOWNLOAD

taio cruz-ty o download

RIHANA-TALK that TALK (DELUXE edition)

1. You Da One (Prod. by Dr. Luke, Ester Dean)
2. Where Have You Been (Prod. by Dr. Luke, Ester Dean)
3. We Found Love feat. Calvin Harris (Prod. by Calvin Harris)
4. Talk That Talk feat. Jay-Z (Prod. by Stargate, Ester Dean)
5. Cockiness (Love It) (Prod. by Bangladesh)
6. Birthday Cake (Prod. by Da Internz, The-Dream)
7. We All Want Love (Prod. by No I.D., Ester Dean)
8. Drunk on Love (Prod. by Stargate, Ester Dean)
9. Roc Me Out (Prod. by Stargate, Rob Swire)
10. Watch n’ Learn (Prod. by Hit-Boy, Priscilla Renea)
11. Farewell (Prod. by Alex Da Kid, Ester Dean)
Bonus Tracks:
12. Red Lipstick (Prod. by Chase & Status, The-Dream, Rihanna)
13. Do Ya Thang (Prod. by The-Dream, Rihanna)
14. Fool in Love (Prod. by Dr. Luke, Ester Dean)
15. We Found Love feat. Calvin Harris [Calvin Harris Extended Mix]

Rihanna – Talk That Talk (Deluxe Edition)

ALBUM
Rihanna – Talk That Talk (Deluxe Edition)

ADELE-SOME ONE LIKE YOU

JUSTIN BIEBER FT BOYZ 2 MEN-FA LA LA

NEW VIDEO: Justin Bieber – Fa La La ft. Boyz II Men

NEW VIDEO: Justin Bieber – Fa La La ft. Boyz II Men

Ordinary People

Ordinary People

LMFA-MODERN FUNK

LMFA

ANGIE FT FRASHA-NIPE NAFASI

MKASI SE01EP3 NA MASOUD KIPANYA

WASANII NA WADAU WAELEZEA WALIVYOGUSWA NA MSIBA WA MR EBBO

KAL JEREMIA FT ROMA, STEVE R&B,BELA KOMBO-

HUSSEIN MACHOZI-JELAA

TRACK MPYA YA HUSEIN MACHOZI
DOWNLOAD FOR RADIO PROMO HUSEIN

Monday, December 5, 2011

BRAND NEW TRACK 'IZO B FT DULLY SYKES-BARUA'

DOWNLOAD FOR RADIO PROMO IZO

mavoco-silali

mavoco-silali

BRAND NEW TRACK prof jay-kamiligado

TRACK MPYA YA PROF JAY-KAMILIGADO AKIWA AMEMSHIRIKISHA MARCO CHALI,
Offical Website for KamiliGado by Professor Jay Feat. Marco Chali | Produced by Marco Chali, Feel FREE to listen and Download from here. Kwa wateja wa Airtel : kuweka KamiliGado kama Callertune yako Tuma "SET 9521" Kwenda number 15578 | tiGO Tuma *** Kwenda namba 15050
aksante dj choka
download radio promo only-prof jay=kamiligado

ZEST - HALI NGUMU

DOWNLOAD FOR RADIO PROMO
TRACK MPYA INAYO MGUSA MTZ AMBAYE LEO HII ANSHELEKEA MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YAKE BASI HAYA NDO YA ZEST KWAAJILI YA WATANZANIA WENZAKE.DOWNLOAD KWA PROMO PEKEE ASANTEH! KWAUSHIRIKIANO WAKO by ila isah!

THE MAKING OF MKALI BILALI VIDEO 'FUTA MACHOZI'

PICS ZA VIDEO HIYO SOON UPLOADED BY ILA ISAH! CAMERA MAN DJ NEH

Sunday, December 4, 2011

SITARAJII KUTOA ALBUM TENA – SOGGY

Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini kutoka kundi la Hot Pot Family, Soggy Doggy asema, ‘’sitarajii kutoa albam kutokana na gharama za kuiandaa kua kubwa na pindi iwapo sokoni faida haionekani kwani wahindi wanatunyonya’’. Msanii huyu alitamba na nyimbo zake za awali kama vile “Kibanda cha simu”, “Nilikaona mwaka jana” pamoja na “Nimchague nani”, zinazopatikana kwenye albam zake tatu alizowahi kuzifanya kipindi cha nyuma.

Kwa sasa Soggy anatarajia kuachia nyimbo yake mpya hivi karibuni ambayo ipo mikononi mwa produza P.Funky Majani katika studio za Bongo Records, hivyo mashabiki wa Soggy Doggy pamoja na Hotpot Family mnaombwa kukaa tayari kuipokea kazi hiyo mpya.

BRACKET-ME & U

TIMAYA-LOVE OVER ME