Saturday, August 27, 2011

Bye bye ni song title la kwake joh makin.mwamba wa kaskazin c.e.o wa GMF yaani good music family (*) kaachia nyeusi nyingne .unaweza skiliza pia

Raymond mkal wa freestyle aachia pini

Yule mkal wa freestyle tanzania aachia ngoma iliyofanyika pale mj recs.chin ya mkono wa kwake marco chal kushangaza zaid ngoma hyo mkal raymond kaimba mbali na masikio meng ya raia wakitaraji atashuka ni michano (rap).alipoulizwa kasema amefanya kutokana na force ya market
Izo b chini ya Adam juma wa next level.kile kinachoitwa riz one ongea na mshua kimefanyi kama vp kaa karibu na tv yako upate kuona

GONDO FT MASAI & ERICK=nazi Mojamoja recs

Chini ya mkono wakwake ZEST a.k.a kindoga.pande za MOJA MOJA RECS.mida ya kijioni flani ngoma inayokwenda kwa title ya NAZI. Imefanywa na komedian maarufu hapa BONGO.story ilikuwa kama ifuatavyo MKAL BILAL alikutana na GONDO katika story za hapa na pale wakafika MOJAMOJA RECS ndani ya jiji la mbeya pande za ilem darajan. Sasa hapa ndio mduara mzima ulipoanza.Siku iliyofuata comedian waliongozana na GONDO Akiwepo ERICK. SHAROBARO.MASAI bibie wa enyi na wengne weng.lakin katika hao ni erik na masai ndio waliopewa shavu hilo katika mzigo unakwenda kwa jina la nazi.much respect komedian wote na wanangu wa hood .zest u did it bro!
unaweza skiliza hapa pia