Saturday, June 4, 2011

MKAL REY AFANYA VIDEO

Msanii toka chimbo Mkal rey,yupo katika harakat za kufanya video hilo limezibitishwa na director wa zax video production "mkal rey anafanya video  chini ya watu kama mkali bilal,Dama mkale pamoj na team nzima ya swagger clan wakishirikiana na prince eze wa chriss videos pande za soweto mbeya,tumejipanga kufaya ngoma iliyopikwa na zest mkale wa MOJAMOJA RECS

No comments:

Post a Comment