Wednesday, October 26, 2011

ZEST MKALI-USINIACHE


ZEST MKALI a.k.a KINDONGA.
Hapa namzungumzia producer wa MOJA MOJA RECS,
Anadondoka na ngoma yake USINIACHE,
Hii ni baada ya kuwa mpishi hodari wa ngoma kadhaa wa kadhaa
Kama vile mojamoja anthem,vumilia,nazi,rapper  from green city
na zingine lukuki zilizoko jikoni ni dullayo.,zax b na tribe,

DOWNLOAD FOR PROMO ONLY

No comments:

Post a Comment