Wednesday, February 15, 2012

R. I .P SHANGAZI mama AMINA

IRINGA-NJOMBE-KIPENGELE,NDIO SEHEMU AMBAYO SHANGAZI YANGU MAMA AMINA
ALIKUWA AKIISHI,UMATI ULIMFIKA WAKATI AKILIMA,CHANZO KINADAI NI RADI NDO ILIYOSABABISHA KIFO,LAKINI NYUMA YA PAZIA INASADIKIKA KUNA KIJANA WA WAKE WAWILI AMBAYE ALILETA RADI HIYO (IMANI ZA USHIRIKINA),KATIKA AJALI HIYOYA RADI WATU WATANO WAKO NA MAJERAHA MWILINI,AFU MAJEMBE MATATU YAMEPASUKA MIPINI,CHA AJABU WAKATI SHANGAZI YUPO KULIMA ALIKUWA NA MTOTO WA MIEZI SITA
MGONGONI RADI ILIMTENGANISHA SHANGAZI NA MTOTO KUTUPWA KULE NA ALISIKIKA AKILIA MLIO MMOJA TU NA KUKAA KIMYA,marehemu alikuwa akiishi lwimatiro
KIFO KIMETOKEA
TAREHE 08 FEBRUARY 2012
KUZIKWA 09 FEBRUARY 2012  MAKABULI YA LWIMATIRO

No comments:

Post a Comment