Tuesday, July 17, 2012

NGOMA INAYOLETA UTATA

NAMZUNGUMZIA DULLAYO ALIYETOKA NA NGOMA MPYA HAWALALI  AMBAYO IMELETA GUMZO MITAANI IKIWA NI MARA BAADA YA HII NGOMA KUTOKA CHINI  YA PRODUCER KISAKA TOKA JIJINI DAR ES SALAAM KUMBE HII NGOMA ILITANGULIA KUREKODIWA MBY CHINI YA PRODUCER ZEST MKALI

NGOMA ZOTE MBILI HIZO HAPO CHINI

YA KWANZA TOKA KWA KISAKA

YA PILI TOKA KWA ZEST MKALI
dullayo-hawalali by zest

No comments:

Post a Comment