Thursday, August 16, 2012

RAYMOND KING OF FRESTYLE TZ

Raymond as king of free style tz.Ame realese ngoma under maneck
chini ya usimamizi mkubwa wa TIP TOP  CONNECTION,seem the
guy got deal under babu tale.
UTATA;
mbona verse ya pili ndo ile liyoleta utata mbeya kati ya ALLY THE DON.
na raymond.sijaelewa ally the don akisikia ngoma hiyo utata utakuwaje maana
ishu nzima ilikuwa solved na mbeya fm under smart boy na stanlaus.
anyway ngoja nimcheki ALLY THE DON pande za PAMODZ MBEYA TOWN
Atiririke na hio swala kiundani source ila isah entertainment
NGOMA ZOTE MBILI MADE IN MBEYA UNDER MOJAMOJA RECS
YA AWALI ILIYOFANYIKA MBEYA NAYO IPO KWA BLOG

No comments:

Post a Comment