Saturday, August 27, 2011

GONDO FT MASAI & ERICK=nazi Mojamoja recs

Chini ya mkono wakwake ZEST a.k.a kindoga.pande za MOJA MOJA RECS.mida ya kijioni flani ngoma inayokwenda kwa title ya NAZI. Imefanywa na komedian maarufu hapa BONGO.story ilikuwa kama ifuatavyo MKAL BILAL alikutana na GONDO katika story za hapa na pale wakafika MOJAMOJA RECS ndani ya jiji la mbeya pande za ilem darajan. Sasa hapa ndio mduara mzima ulipoanza.Siku iliyofuata comedian waliongozana na GONDO Akiwepo ERICK. SHAROBARO.MASAI bibie wa enyi na wengne weng.lakin katika hao ni erik na masai ndio waliopewa shavu hilo katika mzigo unakwenda kwa jina la nazi.much respect komedian wote na wanangu wa hood .zest u did it bro!
unaweza skiliza hapa pia

1 comment:

  1. oya usitoe nyimbo uki update mbona hii haipo hapa mr administrator

    ReplyDelete