Timu nzima ya zaxswagger,inapenda kutoa shukrani za dhati kwa kituo cha radio mjini mbeya 92.7 Mhz highland fm.Mchango wenu katika hilo ni jambo kubwa ambalo mnapaswa kupongezwa kwan mlichokifanya kitawapa hali na umakini katika ufanyaji kazi zao kwani watakuwa wakifanya kazi ya music,huku tukiwapa suport ya internet ambapo itafika popote pale ulimwenguni.
AKSANTE SANA,mtangazaji OBBYMACK DAVID kaka mchango wako kwetu na wasanii ni suport tosha ndugu
No comments:
Post a Comment