Monday, November 14, 2011

USINIACHE VIDEO COMING SOON

Ngoma kali kutoka kwa zest inayokwenda kwa title ya usiniache video yake inayofanywa na kampuni ya MVP,Kutoka mbeya ni kampuni ngeni katika tasnia ya music video and films,Video hiyo ipo katika hatua za mwisho kukamilika'mzigo mzima umesimamiwa chini ya dir,Twice p,Editor.Msangazila hivyo wadau subili mzigo wa moto ,
SHUKURANI ZIWAENDEE  WANANCHI WOTE WA MBEYA KWA SUPORT MLIYOTOA
AUDIO VERSION FOR RADIO PROMO DOWNLOAD
ZEST-USINIACHE

No comments:

Post a Comment