Saturday, November 26, 2011

PROF JAY SOON ATADONDOSHA KITU KIPYA KAMILIGADO

 
Mtu mzima kwenye game hili la bongo fleva Prof Jay baada ya kuwa kimya kwa mda kidogo huku akiwa anatesa na video yake ya KAMA IPO sasa yupo tayari kabisa kuachia wimbo mwingine mpya ambao umepewa jina la KAMILIGADO ukiwa umemshirikisha Producer Marco Chali. Wimbo huu umetengezwa pale MJ Rec chini ya mtu mzima Marco Chali, kaa mkao wa kula kwa ujio mpya wa Prof Jay na video ya wimbo huu inatarajiwa kutengenezwa soon na kampuni ya Visual Lab
KWA HISANI YA DJ CHOKA

No comments:

Post a Comment