Wednesday, November 23, 2011

NYUMBA MBILI ZACHOMWA MOTO TUHUMA ZA USHIRIKINA MBEYA

KILE KINACHO SADIKIKA NI USHIRIKINA JIJINI MBEYA.HAYO NI MAWAZO NA IMANI YA WANACHI WA ILOLO KARIBU NA SHULE YA MSINGI NA SEKONDARI SINDE.Baadhi ya ushuuda uliotolewa na mwanachi!
MWANDISHI WETU,
 REPORT isa;
mnamo majira ya kumi na nusu jion walionekana wanachi wakiwa katika vikundi wakijadili hili nalile kumbe walikuw wakijadili swala zima ni juu ya mzee na familia ya yake ambapo tuhuma za ushirikina zilikuwa ziki mkabili, chanzo kinazidi kudai ni baada ya kijana mdogo kupotea katika mazingira ya kutatanisha siku za nyuma,Hata hivyo inadaiwa kuwa tuhuma hizo zilizokuwa zina mkabili mzee huyo kufanya biashara kwa kutuma watoto wa jirani zake (misukule),katika msiba wa jirani hapo wanachi wenye hasira kali ndipo walipo chukua sheria mkononi na kuchoma moto nyumba zote mbili,hata hivyo inadaiwa kwa walio chukua vitu wakati duka likiteketea kwa moto walirudisha wao wenyewe baada yakuambiwa mzee huyo ni nuksi.

No comments:

Post a Comment